×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tembea Kenya: Kujivinjari kwenye mkahawa unaoelea baharini

9th October, 2015

Binadamu hutafuta njia mbalimbali za kujipa raha. Wengine wanapofika baharini kuogelea, wapo wanaojivinjari kwenye mikahawa inayoelea baharini na pia kupata uhondo wa kusafiri majini kwa jahazi huku wakipakuliwa vyakula na vinywaji. John Juma anatujuza zaidi kuhusu mkahawa uitwao the Moorings eneo la Mtwapa kaunti ya Kilifi kwenye makala yetu ya kila Ijumaa Tembea Kenya.
.
RELATED VIDEOS