x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uchaguzi wa maafisa wa ODM katika Kaunti wakumbwa na vurugu kwenye baadhi ya maeneo

06, Oct 2015

Uchaguzi wa maafisa wa ODM katika Kaunti umekumbwa na vurugu kwenye baadhi ya maeneo. Leo katika Kaunti ya Kisumu utata uliibuka huku vurugu zikishuhudiwa katika ukumbi wa Tom Mboya Labor College. Kwa wakati mmoja mbunge wa zamani wa Muhoroni aliyekuwa akiwania uwenyekiti Ayiecho Olweny alifurushwa huku gari lake likipigwa kwa mawe. Mwanahabari wetu wa eneo la Nyanza Victor Ogalle anatuarifu zaidi.

Feedback