x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Makamishna wa IEBC wahojiwa na kamati ya bunge kuhusu uhasibu kuhusu utoaji tenda

15, Sep 2015

Makamishna wa tume ya uchaguzi nchini IEBC akiwemo mwenyekiti Isaak Hassan wamefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uhasibu na kukana kuhusika katika utoaji tenda kwa kampuni ya Phase Technology. Kampuni hiyo ilitiliwa shaka katika ripoti ya mhasibu mkuu wa serikali Edward Ouko kutokana na vifaa vya eletroniki vilivyofeli wakati wa uchaguzi mkuu.

Feedback