Concour’s Délegance: Gari ambalo liliundwa Kenya na lina mfano wa gari la Alfa Romeo la 1750
14th September, 2015
Wapenzi wa magari watapata nafasi ya kutazama gari ambalo liliundwa hapa nchini na ambalo ni la mfano wa gari la Alfa Romeo la 1750 Sports Car muundo wa 1930….
Gari hilo linatarajiwa kuwavutia mashabik wengi wakati wa makala ya 2015 ya mashindano ya kila mwaka ya Concour’s Délegance.