Je unapoabiri gari lililo na muziki wa sauti ya juu , je unafahamu haki yako kama mkenya?
3rd September, 2015
Je unapoabiri gari lililo na muziki wa sauti ya juu , je unafahamu haki yako kama mkenya. Ni wapi dereva au mmiliki wa gari hapaswi kupita mipaka? Kwa kusema hivi haimanishi kuwa si sawa kuwa na burudani kwenye gari. Ndilo suala tutakalolijadili hii leo katika makala ya elewa sheria awamu ya pili ya taarifa hizi