x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kesi inayomhusu mhubiri Maina Ng’ang’a Neno yafikishwa katika afisi ya Keriako Tobiko

10, Aug 2015

Kesi inayomhusu mhubiri wa kanisa la Neno Evangelism sasa imefikishwa katika afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko.. Hii ni kufuatia pendekezo la inspekta mkuu wa polisi kwamba Ng’ang’a ashtakiwe kwa kosa la kusababisha mauaji kutokana na kuendesha gari vibaya. Aidha imependekezwa kuwa maafisa wa polisi waliohusika katika jaribio la kuwanyima haki waathiriwa waadhibiwe.

RELATED VIDEOS


Feedback