×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamume mwenye aokolewa baada ya kutafunwa na funza katika kaunti ya Murang’a

19th July, 2015

Mwanamume mwenye umri wa miaka 45 ameokolewa baada ya kutafunwa na funza katika kaunti ya Murang’a. Francis ngugi aliyekuwa afisaa katika jela ya murang’a ameishia katika maisha ya uchochole baada kufukuzwa kazini na kuishia kuwa fukara hohe hahe. Saida swaleh ametuandalia taarifa hiyo inayoonyesha jinsi dunia huwa rangi rangile.
.
RELATED VIDEOS