×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Eneo la Kibiashara la Westgate lafunguliwa upya

18th July, 2015

Eneo la kibiashara la westgate linafunguliwa rasmi hii leo ikiwa ni takriban miaka miwili tangu shambulizi la kigaidi kufanyika hapo ambapo zaidi ya watu 67 waliuawa. Mapema wiki hii, gavana wa Nairobi- Evans Kidero, aliwatembeza wanahabari kwenye eneo hilo la kibiashara huku akitangaza kwamba sherehe rasmi za ufunguzi zitafanywa leo. Kauli za serikali kwenye hafla ya leo ya ufunguzi ni kwamba hatua ya kufungua rasmi eneo hilo la kibiashara imefanywa maksudi kuwasilisha ujumbe kwamba hawawezi kusimamsisha shughuli za Wakenya za kila siku .
.
RELATED VIDEOS