Vijana 3 wapigwa risasi na kujeruhiwa Bahati, Nairobi wakati wa oparesheni ya kumwaga pombe haram
08, Jul 2015
Vijana watatu wamepigwa risasi na kujeruhiwa miguuni katika eneo la Bahati hapa jijini Nairobi wakati wa oparesheni ya kuimwaga pombe haramu iliyoongozwa na mbunge wa Makadara Benson Mutura.