Shirika linalosimamia ubora wa bidhaa nchini KEBS lapiga marufuku vileo 367
5th July, 2015
Shirika linalosimamia ubora wa bidhaa nchini kebs limetoa orodha ya jumla ya vileo aina 367 ambavyo vimepigw amarufuku kutengenezzwa na kuuzwa nchini kufuati agizo la rais uhuru kenyatta. Lakini haya yakijiri muungano wa watengenezaji pombe nchini umejitokeza na kuzungumza na k.t.n kwamba amri hiyo inatumiwa na wanasiasa kujifaidi huku shughuli nzima wakidai nafanya ndivyo sivyo.