×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wahudumu wa afya wasusia kazi kulalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao Chuka

12th June, 2015

Huduma kwa wagonjwa katika hospitali kuu ya Chuka kaunti ya Tharaka Nithi zimelemazwa baada ya wahudumu wa afya wakiwemo madaktari, wauguzi na maafisa wa kliniki kususia kazi leo kulalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao. Wagonjwa katika kaunti ya Tharaka Nithi sasa wamelazimika kutafuta matibabu katika kaunti jirani za Embu na Meru. Francis Mtalaki ametuandalia taarifa hiyo kwa kina.
.
RELATED VIDEOS