Jamaa ajifunga minyororo kushinikiza kampeni dhidi ya saratani kote nchini
20th May, 2015
Kutokana na kufeli kwa mitambo na mashine za kutibu saratani, jamaa mmoja ameamua kujifunga minyororo kama njia mojawapo ya kushinikiza kampeni dhidi ya saratani kote nchini huku akiwataka wadau husika kuwajibika pakubwa.