x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watu kumi wafariki katika ajali ya Webuye-Eldoret

10, May 2015

Watu 10 wamefariki katika ajali ya barabarani katika eneo la Kipkaren kwenye barabara ya Webuye - Eldoret. Ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa tano asubuhi. Ajali hiyo ilihusisha matatu ya Kabras SACCO ambapo iliingia ndani ya trela. Matatu hiyo iliyokuwa na abiria 11 ilikuwa inaelekea Kakamega kutoka Eldoret. 7 walifariki papo hapo wengine 3 wakifariki wakiwa njiani kuelekea hospitalini. Majeruhi wanapokea matibabu katika hospitali ya wilaya ya Webuye na Eldoret.

RELATED VIDEOS


Feedback