NEMA yafunga kiwanda kufuatia malalamishi ya wakaazi wa Imara Daima
29th April, 2015
Shirika la mazingira NEMA limekifunga kiwanda kimoja katika eneo la viwandani hapa jijini Nairobi baada ya wenyeji wa maeneo ya Imara Daima kuteta kusumbuliwa na gesi inayotoka kiwandani humo