x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Naibu Rais Wiliam Ruto atisha kufunga Kambi ya Wakimbizi ya Daadab

11, Apr 2015

Serikali imeagiza kuhamishwa kwa kambi ya wakimbizi ya daadab hadi nchini somalia kama njia moja ya kukabili ukosefu wa usalama nchini. Naibu wa rais william ruto amesema kuwa kenya imeipa umoja wa mataifa miezi mitatu kuhamisha kambi hiyo la sivyo kenya ichukue hatua hiyo. Hatua hiyo imechukuliwa wakati ambapo kenya inatafuta mbinu a kukabiliana na kundi la alshabab ambao wamehusika katika mashambulizi likiwemo shambulizi la wiki jana katika chuo kikuu cha Garissa.

RELATED VIDEOS


Feedback