x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Familia moja katika eneo la Meru yatafuta mtoto wao katika mochari

06, Apr 2015

Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Giakanja Kaunti ya Meru baada ya familia moja kudai kumpoteza mtoto wao kwa njia ya kutatanisha. Charles kanyiri mwenye umri wa 25 alikuwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha garissa. Familia hiyo inadai kumtafuta mwana wao kwenye kila mochari jijini nairobi bila mafanikio yoyote tangu kutukia kwa shambulizi la kigaidi chuoni humo. Wazazi wake joseph wanyiri na ann wanjiku wamesema jitihada za o za kumtafuta zimeambulia patupu kwani waliomjua charles hawana taarifa zozote kumhusu. Kwa sasa wanaitaka serikali kuwasaidia kumtafuta mwana wao aliyepotea.

RELATED VIDEOS


Feedback