x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mamia ya watu wafurika Chiromo kuomboleza waliouwawa Garissa

04, Apr 2015

Shughuli ya upasuaji inatazamiwa kufanyika jumanne wiki ijayo ili kutambua maiti ambazo haziwezi kutambulika hii ni baada ya mpasuaji mkuu wa serikali johansen odour kutembela hifadhi ya maiti na kusema kuwa miili mingi haiwezi kutambulika bila ya kufanyiwa upasuaji. Kwa sasa ni miili 20 pekee ambayo imetambulika lakini kama anavyoripoti francis mtalaki familia moja ambayo imefanikiwa kumtambua mpendwa wao imesalia na majonzi tele baada ya kumpoteza msichana wa pekee waliokuwa na matarajio naye kuwa angebadilisha maisha ya familia hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback