×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Punda watano wapatikana mjini Nairobi katika barabara ya Kenyatta

30th March, 2015

Wakaazi wa Kaunti ya Nairobi hii leo waliamkia tukio la kushangaza lililohusisha punda watano waliokuwa wamefungwa katika barabara ya kenyatta hapa jijini nairobi. Punda hao waliokuwa na ujumbe ulioandikwa kwa rangi walidhamiriwa kupitisha ujumbe kuhusu hali ya ufisadi ilivyo humu nchini. Hata hivyo polisi wanawasaka watu waliowaacha punda hao barabarani.
.
RELATED VIDEOS