×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwakilishi wa wadi ya Juja, Samuel Gitau aliyeripotiwa kupotea alipatikana

16th March, 2015

Mwakilishi wa wadi ya juja katika kaunti ya kiambu aliyeripotiwa kupotea kwa mda wa wiki samuel gitau alipatikana jana usiku katika sehemu ya kinungi,barabara kuu ya kuelekea naivasha. Inadaiwa kuwa mwakilishi huyo alihepa kwenye gari la waliokua wamemteka nyara huku polisi ikiendelea na uchunguzi wake. Kwa sasa anapokea matibabu katika hospitali ya aga khan hapa jijini.
.
RELATED VIDEOS