×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mchoraji Newton Maraga almaarufu X-RAY Scott aonyesha ujuzi wake

15th March, 2015

Ulipokuwa shuleni hasa katika kiwango cha chekechea na shule ya msingi ulipenda kuchora michoro ya kila aina aghalabu kujipumbaza lakini ukafikia umri fulani mazoea hayo yakapungua ama kuisha kabisa hivyo basi kupoteza kipaji chako. Mwanahabari Francis Mtalaki alikutana na Newton Maraga mwanafunzi wa chuo Kikuu cha Kenyatta aliyekuza talanta yake tangia utotoni na sasa anajivunia matunda hata kabla ya yeye kukamilisha masomo.
.
RELATED VIDEOS