x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

COTU wasikitikia mauaji ya Mbunge George Muchai

07, Feb 2015

Maafisa wa Kaunti ya Nairobi wamesema kuwa kamera za CCTV katika eneo la mkasa wa mwenda zake mbunge wa kabete George Muchai, dereva wake na walinzi wawili zipo kazini. Wamesema kuwa picha hizo zimo mikononi mwa polisi kwa uchunguzi zaidi. Mbunge George Muchai aliuawa leo alfajiri katika mzunguko wa barabara ya kenyatta hapa jijini Nairobi alipokuwa ameandamana na familia yake kutoka mtaa wa Westlands.

RELATED VIDEOS


Feedback