×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaume apashwa tohara ya lazima katika kaunti ya Bungoma

16th January, 2015

Wenyeji wa mji wa Chwele katika kaunti ya Bungoma wamejionea kioja cha bure, wakati jamaa mmoja mwenye wake wawili alipokamatwa na umati kisha kulazimishwa kukabiliana na kisu cha ngariba. Inasemekana kuwa ugomvi wa kinyumbani kati ya jamaa huyo na mkewe wa kwanza ndio chanzo cha mwanamke huyo kumripoti mumewe kwa wazee wa jamii ya wabukusu kuwa hajatairiwa, akiifanya njia mojawepo ya kumtia adabu.
.
RELATED VIDEOS