×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamume alazwa hospitalini baada ya mkewe kuchomwa kwa maji moto

7th January, 2015

Mwanamume mmoja amelazwa katika hospitali moja hapa Nairobi baada ya mkewe kuchomwa kwa maji moto. Akizungumza na KTN Leo akiwa kitandani mwake mwanamume huyo amesema kwamba baada ya kumchoma, mke huyo kwa jina Alice Wairimu alimfungia chumbani na kutoweka….madaktari wanasema mtu huyo aligunduliwa akiwa ameanza kuoza sehemu za mwili zilizokuwa zimechomwa…Elvis Kosgey anaarifu.
.
RELATED VIDEOS