Jamaa aliyehukumiwa kimakosa aachiliwa huru
25th December, 2014
Huku wakenya wakiungana kusherekea krismasi, familia moja eneo la kawanagware limejawa na furaha na bashasha isiyo na kifani. Hii ni baada ya jamaa yao mmoja aliyepewa hukumu ya kifo gerezani kuweza kuachiliwa baada ya mahakama kukiri hakuwa na makosa.