x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kundi la kina mama Marsabit wafaidi kutokana na biashara yao ya ushonaji kwenye soko la mataifa

10, Dec 2014

Baadhi ya wakaazi wa maeneo kame hutatizwa na umaskini kwa sababu mbali mbali ikiwemo mazingira magumu na ukosefu wa elimu. Licha ya hiyo kundi moja la kina mama katika kaunti ya Marsabit limekuwa mfano mwema kwa kutumia mbinu za ushonaji kutengeneza bidhaa za kuuzwa kwenye soko la mataifa.

RELATED VIDEOS


Feedback