Je, Wakenya wameukumbatia mpango wa kulipa nauli kielektroniki?
9th December, 2014
Siku kumi zilizopita wizara ya uchukuzi ilizindua mpango wa kulipa nauli kupitia kadi mahsusi za elektroniki. Mpango huo umeungwa mkono na wamiliki magari ya uchukuzi wa umma, hasa kwa kuwa mapato yao yatalindwa huku wahudumu wa magari hayo wakilalamika vikali. Francis Mtalaki amekuwa mjini, kutathmini utekelezaji wa mpango huo kubaini iwapo wakenya wameukumbatia