x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Msichana wa Chuo Kikuu auawa na mchumbaye

06, Dec 2014

Miaka ya nyuma wazazi walikuwa wakiwatafutia watoto wao wapenzi wa kuwaoa pindi wanapotimu umri. Enzi hiyo inaonekana kuzidi kutokomea na kusahaulika wakati kizazi cha dot com kikizama kwenye mitandao kulitafuta penzi. Mwishoni mwa wiki jana msichana mwenye umri wa miaka 22 alidaiwa kuuawa na mpenziwe raia wa uingereza waliyekutana kwenye facebook.

Feedback