x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Uhuru ampiga kalamu Joseph Ole Lenku huku IG David Kimaiyo akitangaza kustaafu

03, Dec 2014

Saa chache baada ya kuripotiwa mauwaji ya wakenya wengine 36 katika kaunti ya Mandera Rais Uhuru Kenyatta amempiga kalamu waziri wa maswala ya ndani mwa nchi Joseph Ole Lenku. Aidha inspekta mkuu wa polisi David Kimaiyo ametangaza kustaafu haya yakiripotiwa swali kuu nchini limesalia ni je hatua hiyo itawahakikishia wakenya usalama?

RELATED VIDEOS


Feedback