×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baadhi ya wanachama wa kamati ya ardhi bungeni walalama kupokea vitisho

13th November, 2014

Ushawishi wa wanaomiliki ardhi ya Karen umeanza kuathiri shughuli za bunge ambapo leo baadhi ya wanachama wa kamati ya ardhi bungeni wamelalama kupokea vitisho. Ajabu ni kwamba wabunge hao wanadai vitisho vinatolewa na mwenyekiti wa kamati hiyo Alex Muiru. Kutokana na hali hiyo wanakamati hao wameamua kumwondoa uongozini.
.
RELATED VIDEOS