Wazee wa jamii ya pokot wajitokeza na kutaka suluhu ya kudumu kuhusu mashambulizi duni
29th October, 2014
Spika wa bunge la kaunti ya Baringo amekamatwa na maafisa wa upelelezi wa jinai hapa jijini Nairobi akiwa njiani kuelekea nchini Uturuki. Kassait Kamket ameandikisha taarifa kuhusu mapigano yanayoendelea katika kaunti ya Baringo kufuatia matamshi yake ya awali yanayodaiwa kuhamasisha chuki. Wazee wa jamii ya pokot wamejitokeza na kutaka suluhu ya kudumu kuhusu swala zima