Malkia kutoka milki mbalimbali za kifalme barani Afrika waandaliwa kongamano jijini Nairobi
28th October, 2014
Shirika moja linalowaleta pamoja malkia kutoka milki mbalimbali za kifalme barani Afrika, na ambalo liliasisiwa kupitia umoja wa mataifa lliliandaa kongamano lake hapa jijini Nairobi.