×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Otieno Oyoo afariki katika hali ya kutatanisha

25th October, 2014

Kijana mmoja katika shule ya wavulana ya otieno oyoo alizimia na kufariki alipokuwa akisoma kwa mtihani wa kitaifa hapo jana. Mwendazake austine agumba alikuwa mwanafunzi wa kidato cha nne na kulingana na familia yake hakuwa na dalili zozote za ugonjwa. Lakini kama anavyoripoti nicholas wambua, wenzake waliodinda kutajwa walisema kwamba alipigwa kofi na mwenzake na kuzimia.
.
RELATED VIDEOS