×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Soroveya Cesare Mbaria atoa ramani inayoonyesha kwamba Konza City imo Machakos

22nd October, 2014

Mkurugenzi wa Usoroveya leo amefika katika kikao cha kamati ya seneti kuhusu ardhi kuelezea mmiliki haswa wa ardhi ya Konza City. Kaunti za machakos na Makueni kwa sasa zinazozania ardhi hiyo. Soroveya Cesare Mbaria ametoa ramani inayoonyesha kwamba ardhi hiyo imo katika Kaunti ya Machakos. Nicholas Wambua anaarifu.
.
RELATED VIDEOS