x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanamke amkata bwanake katika sehemu za siri huko Embu

04, Oct 2014

Mwanamme wa miaka ishirini na tisa anauguza majeraha katika hospitali ya Embu level five baada ya mwanamke aliyekiri kuishi naye kwa takriban miaka minane kumkata sehemu zake za siri usiku wa kuamkia leo kufuatia tofauti za kinyumbani.

RELATED VIDEOS


Feedback