×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii ya Mijikenda limemtembelea Gavana Salim Mvurya na kumwomba masamaha

3rd October, 2014

Baraza la wazee wa jamii ya mijikenda leo limemtembelea gavana wa kwale salim mvurya na kumwomba masamaha kufuatia kisa cha mapema juma hili ambapo mtu mmoja wa jamii hiyo alimpiga kwa bakora. Wazee hao wakiwa na mwenyekiti wa baraza hilo joseph karisa mwarandu vilevile walimwarifu gavana mvurya kwamba tayari wamekutana na lengo karisa mdzomba ambaye aliwaomba waomba msamaha huo kwa niaba yake. Kwa upande wake gavana mvurya aliridhia kauli yake ya hapo juzi kwamba tayari ameshamsamehe lengo na wala hatowasilisha tuhuma dhidi yake mahakamani. Aidha gavana mvurya amewaomba wazee hao kuandaa mkutano kati yake na lengo karisa.
.
RELATED VIDEOS