x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

PEACE INITIATIVE: Wazee wa Jamii ya Agikuyu wakutana kuhubiri amani

28, Sep 2014

Baraza la wazee kutoka jamii ya agikuyu wameanzisha kampeini ya kuhubiri amani na utangamano katika kaunti zote 47 za humu nchini. Wakiongozwa na mwenyekiti wao wa kitaifa wachira kiago wazee hao walizuru kaunti ya kilifi na kufanya mazungumzo ya amani na wazee kutoka jamii ya mijikenda, na wabajuni huku baraza hilo la wazee likisema kuwa chuki za kisiasa humu nchini zimechangia kuwepo kwa ghasia kama zilivyoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali za humu nchini. Wazee hao waliitaka jamii kuheshimiana pamoja na kuahidi kufanya kazi na wazee wa kila jamii kwa lengo la kuhubiri amani.

RELATED VIDEOS


Feedback