KTN Leo Full Bulletin 20th September 2014 (ICC amhitaji Rais Uhuru Kenyatta)
20th September, 2014
1. SAUDI ARABIA TORTURE: Msichana Mkenya afungiwa Saudi Arabi kwa mateso
2. Wenyeji wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya wapata vitambulisho
3. Wambunge wa Jubilee washurutisha ICC kwa kutoa agizo kwa Rais Uhuru Kenyatta
4. Inspekta Jenerali wa Polis David Kimaiyo amewaagiza Wakenya kuwa waangalifu
5. Aliyekuwa Mwanahabari wa Standard Oscar Pilipili amezikwa nyumbani kwake Kakamega