Mahakama ya ICC yafutilia mbali tarehe iliyopangiwa kuanza kwa kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta
19th September, 2014
Majaji wa ICC wameitisha mkutano mwingine wa wahusika wote tarehe 7 na tarehe 8 Oktoba, ili kujadili tetesi za kiongozi wa mashtaka Fatou Bensouda. Mwanzoni mwa mwezi huu Bensouda alikiri kuwa hajapata ushahidi wa kutosha kumwezesha kuanzisha rasmi kesi dhidi ya Uhuru, na kuomba kesi kuahirishwa tena