×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu tisa waripotiwa kufariki katika ghasia za Kaunti ya Mandera

26th August, 2014

Watu 9 wamethibitshwa kufariki katika kata ya gofa wargadit, kaskazini mwa kaunti ya mandera kufuatia mapigano yaliozuka leo kati ya mbari za garre na degodia. mashambulizi ya hi leo yalitekelezwa katika miji mengine miwili ambapo inashukiwa watu wengi zaidi wamepoteza maisha yao. kulingana na naibu wa chifu eneo hilo, wakaazi wamekosa la kufanya baada ya mafisa wa usalama na mashirika ya misaada kukosa kufika.
.
RELATED VIDEOS