x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Nyeri wameandamana kulalamikia mazoeaya ya mashamba yao kuvamiwa na wanyama pori

18, Aug 2014

Wakaazi wa kijiji cha Nyarugumo kaunti ya Nyeri wameandamana kulalamikia wanachokitaja kuwa mazoeaya mashamba yao kuvamiwa na wanyama pori . Eneo hilo linapakana na mbuga ya wanyama ya abadares na inadaiwa kuwa wanyama pori hao huruka ua lililowekwa na kuingia katika makaazi ya watu .

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback