x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wazee wakikuyu wakutana na wazee kutoka jamii ya Wasomali Garissa

16, Aug 2014

Wazee kutoka jamii ya Wakikuyu almaarufu kama Kikuyu Council of Elders walizuru kaunti ya Garissa kwa lengo la kutaka kubuniwa kwa baraza la wazee kutoka jamii ya Wasomali waliowataja kuwa watahusika pakubwa katika kutatua mizozo ya jamii hiyo ikiwemo mizozo ya malisho ya mifugo na hata mizozo ya kijamii. Wazo hili lilipokewa kwa moyo mkunjufu na viongozi wa eneo hilo

RELATED VIDEOS


Feedback