Pombe ambazo hazijasajiliwa rasmi na KEBS zapigwa marufuku
15th August, 2014
Waziri wa usalama wa kitaifa, ametangaza kuondolewa maramoja kwa pombe ambazo hazijasajiliwa rasmi na kutambulika na shirika la ubora wa bidhaa humu nchini . Waziri Lenku pia amesema kuwa wizara ya usalama wa ndani itafanya kazi kwa pamoja na washika dau wote wanaohusika katika kukabiliana na matumizi ya pombe haramu.