Mzee wa kaya Pekeshe Ndeje azikwa huko Rabai
9th August, 2014
Mzee wa kaya Pekeshe Ndeje azikwa huko Rabai. Viongozi wa kisiasa waliohudhuria mazishi hayo walitumia jukwaa hilo kutonesha kidonda cha siasa za pwani ya Kenya. Muungano wa CORD ambao umekuwa ukikumbwa na msuko suko katika siku za hivi karibuni umepinga hatua ya kuundwa kwa Chama cha Pwani.