x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Sekta ya Utalii inatarajiwa kuimarika kupitia kuja kwa wangeni wengi katika mbuga ya wanyama ya Mara

07, Aug 2014

Msimu wa kuhama kwa wanyama aina ya wildebeest au nyumbu kutoka nchi jirani ya tanzania kuja kenya ulianza mwishoni mwa mwezi uliopita na unatarajiwa kuendelea hadi mwezi wa kumi. watalii na wageni waliozuru mbuga ya wanyama ya masai mara walionyesha imani yao ya kuimarika kwa utalii nchini kenya.

RELATED VIDEOS


Feedback