x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Pioneer washuhudia sinema ya bure waziri wa mawasiliano ya kaunti alipopatikana mke wa we

05, Aug 2014

Wakaazi wa mtaa wa Pioneer mjini Eldoret katika kaunti ya Uasin Gishu walishuhudia sinema ya bure pale waziri wa mawasiliano na teknolojia kutoka kaunti hiyo alipovamiwa na wenyeji wakimshutumu kula uroda na mke wa wenyewe ambaye ni mwakilishi maalum katika kaunti ya Uasin Gishu. Kulingana na majirani Barnabas Sang amefanya tabia ya kuwanyemelea wake za wenyewe na sio tu mwakilishi maalum Naomi Chelagat aliyempangoni

RELATED VIDEOS


Feedback