x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Changamoto zinazowakumba watu wanaotumia mkono wa kushoto

02, Aug 2014

Tarehe tatu Mwezi Agosti ni siku ya kuwakumbuka watu wanaotumia mkono wa kushoto ulimwenguni . Lakini ajabu ni kuwa humu mwetu Nchini siku hiyo haijawahi tiliwa maanani . Isitoshe wakenya wengi hawana ufahamu wa kuwepo kwa siku kama hiyo . Aidha Teknologia , utamaduni na hata dini kadhaa zimeonekana kuegemea upande wa wenye kutumia mkono wa kulia .

Feedback