Waazi wa Kitengela waandamana kulalamikia mazingira chafu katika Kaunti ya Kajiado
23, Jul 2014
Wakaazi wa Kitengela katika Kaunti ya Kajiado wameandamana hii leo wakilalamikia kuchafuliwa kwa mazingira kutokana na moshi unaotoka katika kiwanda kimoja cha kutengeneza vigae.