Watejakaji nyara wa Kisumu wataka malipo ya mtoto Zeruzeru
16th July, 2014
ara nyingi mtu anapotekwa nyara , watekaji nyara huitisha pesa ili kumuachilia huru. lakini huko kisumu, watekaji nyara wameitaka familia ya msichana wa umri wa miaka miwili waliyemteka nyara kuwapa mtoto zeruzeru kama malipo ya kumuachilia huru. familia hiyo inayoishi mtaa wa nyalenda mjini humo, wamemkosa binti yao tangu mwezi wa desemba mwaka jana.