×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke kahaba afumaniwa kwa kumwekea mwanaume dawa ya kulewesha

12th July, 2014

Mwanamke mwenye umri wa makamu aliadhibiwa na umati uliojawa na hasira baada ya kufumaniwa akimuekea mwanamume mmoja dawa ya kulewesha kwenye mvinyo wake. Kulingana na wakaazi walioshuhudia kizaazaa hicho , walisema kuwa hii haikuwa mara ya kwanza kwa mwanamke huyo ambaye anadaiwa kufanya biashara ya ukahaba katika mtaa wa kitengela
.
RELATED VIDEOS