Washiriki wa michezo ya nchi za jumuiya ya madola waonywa kutotumia madawa zilizopigwa marufuku
8th July, 2014
Washiriki wa michezo ya nchi za jumuiya ya madola wametahadharishwa kuhusu matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku kwenye michezo.timu ya kenya ilikabidhiwa bendera na waziri wa michezo daktari hassan wario kabla ya kuelekea jijini Glasgow, Scotland wiki ijayo.